1. Learn to love yourself first and foremost.
Hakuna mtu atakuja kukusaidia! Nilipoanza kazi, hili lilikuwa jambo la kwanza kuambiwa. Maisha ni yako, na wewe ndie rubani. Uzuri wake ni kwamba ikiwa una tabia ya upendo kwa nafsi yako, utapenda kila kitu unachofanya na utafanya kwa njia nzuri ya kujiridhisha wewe mwenyewe.
Watu husema kwamba unapaswa kujipenda mwenyewe kwanza kabla ya kupenda wengine. Vijana wengi wanaamini kwamba, ili mwanamke akupende, unapaswa kumpenda yeye zaidi ya unavyojipenda. Hiyo sio sahihi.
Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke atakayewahi kumpenda mwanaume ambaye hajipendi mwenyewe. Ukosefu wa upendo kwa mtu mwenyewe wakati yeye anaetegemewa kuwa msimamizi wa familia ni sawa na ukosefu wa upendo kwa familia yake.
Hiki ndicho kigezo cha msingi ambacho mwanamke kukiangalia kuchagua mwenza.
Maisha yoyote ya mafanikio yanajengwa na shauku ya mtu kwa kile anachofanya. Ikiwa una shauku juu yake na kile unachofanya, utaenda umbali wowote ili kuhakikisha unafikia mafanikio . Ndiyo maana tunaendelea kusema: Fanya unachokipenda, utapenda unachokifanya.
2. Ikiwezekana, safiri kadri unavyoweza.
If you really want something, you will find a way to get it. Go exploring, my friend, and see what nature has to offer. Travel as much as you can and meet people from various places, communities, and environments to learn what they know and what they don't know. Make sure your journey is by learning what they know before telling people what you know.
Ikiwa kweli unataka kitu, utapata njia ya kukitafuta. Tembea kufanya utafiti mshkaji wangu, na uone ulimwengu una vitu gani usivyovijua. Safiri kadri uwezavyo na kukutana na watu kutoka sehemu mbalimbali, jumuika na wakazi wa maeneo tofauti ili kujifunza kile wanachojua na kile wasichokijua. Hakikisha safari yako ni kwa kujifunza wanachojua kabla ya kuwaambia watu kile unachokijua.
3. Jifunze na ujielimishe juu ya mambo yanayokuvutia mara kwa mara.
Kumbuka kwamba kujifunza ni jambo lisiloepukika. Unaweza kuajiriwa na kulipwa, hii si mali yako. Hata hivyo, unachopokea ni sehemu ndogo ya kile ambacho umefanya kama sehemu ya mapato ya mwajiri. Haupaswi kuridhka na malipo hayo.
Tenga muda nje ya kazi ili kufanya mambo yako mwenyewe. Wafanyakazi wenzako wote wanafikiria kuhusu kutimiza mambo yao yenye mafanikio nje ya kazi. Usijisumbue kuwauliza, jifanyie mwenyewe tu. Fanya kazi kwa ajili ya kujifunza, si kwa ujira. Ikiwa unajua unachofanya, utaweza kujifunza jinsi ya kupata mapato zaidi ya kiwango cha sasa.
Ubongo na hisia ni viungo vitu muhimu ambayo hukusukuma kufika katika masafa mpya ya mandeleo. Cheza na akili na hisia zako, haswa unapofanya maamuzi, Wanasema "kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa"
Rika hili la umri ndio linakufanya ufanye maamuzi ya kukurupuka.
Wakati kijana anapopata pesa, anaamua kukusanya marafiki zake na kupanga mitoko. Ni wakati ambapo unapenda anasa lakini kuliko kufanya mambo ya msingi na kujiwekeza.
Wakati huu, yeye huchukua maamuzi kabla ya kufikiria na kutenda kwa njia isiyo sawa.
Do something responsible so that you will be able to solve the problems you will face in the future without having to rely on others or flee from a problem.
There is no achievement without being challenged; the difficulties you are experiencing are the result of training that everyone above has gone through, but you are still a junior, which is why you are finding it tough.
Fanya jambo la kuwajibika ili uweze kutatua matatizo utakayokutana nayo siku za usoni bila kuwategemea wengine au kukimbia tatizo.
Hakuna mafanikio bila changamoto, ugumu unaoupata ni matokeo ya mafunzo ambayo kila mtu aliye juu yako amepitia, lakini wewe bado ni mchanga, ndiyo maana unaona ni ngumu.
5. Epuka maongezi mabaya ya kibinafsi na vikundi hatarishi.
Eliminate as much toxicity as can off your surroundings.Adolescence is a fantastic time to make new friends, but you must make the proper sort of friends in order to discover who your genuine friends are.You will encounter many difficulties for your pals, including betrayal of love, adultery, turning on each other, resentment, and disdain.
Ondoa fikri mgando ambazo nyingi utakutana nazo kutoka kwa walio kuzunguka. Ujana ni wakati mzuri wa kupata marafiki wapya, lakini ni lazima upate marafiki wa aina sahihi ili kugundua marafiki zako wa kweli ni akina nani.
Utakumbana na matatizo mengi kwa marafiki zako, ikiwa ni pamoja na usaliti. ya mapenzi, uzinzi, kugeukiana, chuki na dharau.
Lakini, rafiki mkubwa ni yule anayekujua na hajui uwezo wako, lakini yuko tayari kukusaidia hata kama haitafanikiwa. Walakini, ikiwa ulifanya mwenyewe, ulijiboresha mwenyewe kwa 1% kwa mafanikio hayaji haraka.
6. Unda matarajio rahisi ambayo yatasababisha mafanikio makubwa.
Maisha hayawezi kwenda bila ya kuwepo na lengo. Katika maisha, lazima uwe na maono na lengo ambalo litakusukuma mbele kutoka hapo ulipo sasa.
Ujana ni wakati mzuri wa kufanya maamuzi ambayo yanaweza kukusaidia kuzuia majuto ya wakati ujao. Kila mtu mzima amepitia, lakini hakuna aliye tayari kufichua ukweli, na ni wachache tu wenye mda wa kuketi na vijana na kusimulia uzoefu wao wa maisha. Unafahamu sababu.
Ni kwa sababu vijana wanadai kuwa na waelevu na wamesha kuwa. Kwa hivyo watu wazima huwa wanakata tamaa na kuwaacha vijana kujifanyia chochote wanachotaka.
Don't waste your time, sit and set goals for whatever you do every day. Every time you spend, make sure you do something little that has a long-term advantage, and don't forget how you did it so it might come in handy later.
Usipoteze muda wako, kaa na weka malengo kwa chochote unachofanya kila siku. Kila mda unaotumia hakikisha unafanya kitu kidogo ambacho kina faida ya muda mrefu, na usisahau jinsi ulivyofanya ili kiweze kukusaidia baadaye.

No comments:
Post a Comment