Vp unaweza kupata sarafu mtandao (Cryptocurrencies) za bure - 100%
Nahisi umewahi kusikia tetesi kuhusu sarafu mtandao (cryptocurrency), ila huna uelewa wa kutosha kuwa ni kitu gani haswa.
Kama hujawahi hata kuisikia, Ninaweza tu kukuambia kuwa cryptocurrency ni mfumo wa kifedha ambao husababisha muundo mpya wa pesa zisizo za kawaida ambazo ni sarafu ya digitali. Haihitaji kuwa na fedha ambazo zimehakikiwa kupitia mfumo wa benki.
Mfumo huo ulianza mwaka 2009 kwa kuundwa kwa Bitcoin, ambayo ilikuwa na thamani ya 0.001 USD wakati huo.
Hata hivyo, thamani yake imepanda hadi 49,892.80USD ( 26 Dec. 2021) na inaendelea kuongezeka.
Kwa hiyo, naamini nimekupa elimu yenye manufaa.
Basi hebu tuanze. Leo nitakuambia juu ya njia mbili tu muhimu ambazo unaweza kupata mali tunazo jadili.
Lakini kwanza, kuna kitu lazima uwe nacho. Jina la kitu ni Crypto Wallet.
Crypto wallet, ni sawa na account au kwa maneno ya kimtandao ni kipochi ambacho unatakiwa utumie ili kuhifadhi sarafu zako.
Kwa upande wa matumizi na usalama, unaweza kutumia wallet za hapo chini ambazo zinatumika na wengi kwenye maeneo yetu.
Wallet hizo hapo chini, unaweza kutengeneza wallet moja kwamoja kwa kubonyeza na itakupeleka kwenye ukurasa wa kutengeneza wallet mpya.
1. Paxful
2. Binance
3. Coinbase
Chagua inayofaa zaidi, kisha ukamilishe ukaguzi wa usajili na usalama ili kupata wallet yako.
Inatosha, wacha tuendelee kwenye jambo muhimu.
Lengo ni kukuonyesha baadhi ya mbinu za kimsingi ambazo utaweza kuzitumia kupata sarafu mtandao kwa urahisi. Nakufundisha kwani tangia nimeanza kutumia, tayari nimefaidika na ninaendelea kufaidika nayo. Kwa sababu sipo tayari kubaki na ujuzi huu muhimu kwangu mimi tu, nimeamua kukushirikisha.
Uhalisia, zifuatazo ndio program muhimu online ambazo unaweza kutumia kupata sarafu mtandao bure
1. CryptoTab
Hii ni program bora, nambari moja.
Ni kivinjari (browser) cha computer na simu janja ambacho kuangalia tovuti mtandaoni wakati pia kinakulipa sarafu za mtandao aina ya bitcoin bure kwa unapoitumia .
Hii ndiyo programu bora, na inatumiwa na watu wengi.
Sehemu bora ni kwamba haitumii umeme woyote ya kompyuta au batteri yako.
Imetengenezwa vizuri ili kumpa mtumiaji urahisi wa kuitumia, utaweza kuona kiwango cha bitcoin ulizotengeneza kuirahisi mda wote.
Unaweza kuhifadhi bitcoins yako ndani ya programu hii au kuwapeleka kwenye wallet nyengine.
Kujionea Bonyeza hapa
2. Publish0x
Hii ni wa blogu ya kuchapisha makala. Hapa, ni kwamba mamilioni ya waandishi wanachapisha makala zao, nyingi zao ni juu ya mwenendo wa hivi karibuni kuhusu sarafu mtandao na masoko.
All you have to do is discover the article, read it, and leave a tip for the publisher at the conclusion.
Wewe unacho paswa kufanya ni kutafuta makala iliyochapishwa kwenye iyo , kuisoma kwenye website ya Publish0 na unapo malizo kuisoma makala, hapo ndipo maeneo yetu ya kujidai yana anza.
Utatakiwa kumpa zawadi ya sarafu mchapishaji huku na wewe utapata nafasi ya kujitunza vile vile.
Kujionea bonyeza hapa.

No comments:
Post a Comment